Waziri wa viwanda na biashara dokta Abdallah Kigoda ametaka tasisi kubwa
zinazoshughulika na masuala ya biashara na uwekezaji kukutana na
mamlaka ya mapato nchini tra kujadili jinsi ya kuangalia kupunguza
ushuru na hizo kodi zisozikuwa na tija ili mazingira ya uwekezaji na
uzalishaji uwe wenye faida.
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua. Ut enim ad minim veniam, quis nostrud exercitation.


0 comments:
Post a Comment